Breathing Problems

Matatizo ya kupumua

Filamu hii inaonyesha jinsi ya kumpima mtoto mwenye tatizo la kupumua. Inaonyesha jinsi anavyopumua kwa haraka, kifua kadri anavyopumua, na pua inavyotanuka. Inaonyesha jinsi ya kuwapa watoto oksijeni kama ikihitajika na inatoa ushauri wa kuwapeleka hospitali kwa ajili ya maangalizi zaidi.

Download Video

Join the Conversation

Subscribe
Notify of
guest

0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments